β Back to Projects
πππππ ππππππ‘ππ πͺππ£π? π§πππ₯πππ π¬π πͺπ’ππ π¬π πͺπ¨π‘πππ‘π¬π-π ππππ ππ¨ππ¨π¦π¨ π ππ§π¨π πππ π¬π πππππ ππ π πππ¨π§π (π ππππ’π‘π π ππππ π‘π¨ππ§π π§ππ‘π’)ππ¨π£ππ§ππ ππππ₯π π¬π π£πππππ πͺπ’π₯ππ¦
Evidence
Summary

ΒΉβ΅.ΒΉβ°. Β²β°Β²β΅ Wananchi wa Wundanyi-Mbale Ward wamekuwa wakiteseka kwa muda mrefu kutokana na hali mbaya ya barabara, licha ya kuwepo kwa fedha zinazotengwa kila mwaka kwa ajili ya matengenezo.
Kupitia Bunge la Kaunti la Taita-Taveta , niliomba maelezo rasmi kwa niaba ya watu wangu kuhusu matumizi ya fedha hizo na hapa ndipo taarifa rasmi niliyoipokea;
πͺΆ π΄ππππ ππ πππ ππ 2022/2023: kiasi cha Ksh. 1,000,000 kilitengwa katika bajeti lakini hakikuingizwa kwenye madeni yanayosubiri kulipwa (Pending Bills).
πͺΆ π΄ππππ ππ πππ ππ 2023/2024: KSh 500,000 zililipwa kwa Kituo cha Mafuta cha Bahari Fuel Station, lakini pesa hizi hazikufaidisha Wundanyi-Mbale, badala yake, zilitumika kulipa madeni ya zamani ya Idara ya Ujenzi wa Umma (Public Works).
πͺΆπ΄ππππ ππ πππ ππ 2024/2025, π²πΊπ 1,000,000/= tena zimelipwa kwa Bahari Fuel Station, lakini ni KSh 566,000 pekee